Which cosmetic and beauty products are on high demand in Kenya now?

Vivy

New member
SSF Points
136.00
KES
KSh.0.00
Hello Savers,
Thanks, @Admin for this interactive platform. It has really helped me in gathering the necessary info to make an informed decision on starting my business.
I plan to venture into the cosmetics and beauty business. I will be based in Buru Buru, but i plan to deliver to clients all over the country.

Anyone in this business? Please let me know which are the fast moving cosmetic and beauty product that i should stock?
 

Annet Kilama

New member
SSF Points
5.00
KES
KSh.0.00
Braids. Inategemea mahali utauzia. No 1,2,33,133,1/33,27,350, 2/30 or 4/30 or 6/30 or 8/30.

Hair accessories
Hair dye black
Hair dye brown
Hair bands
Hair pins
Hair clip sp

Losheni.
Hapa ndipo kuna shida. Hii ndiyo itafanya biashara hii iende chini au iende chini au ufunge
Just listen what the customer needs. Stock other things like upande wa losheni kuweni na kalamu ukisikia customers wakitaja losheni fulani andika chini. From there utajua ni ipi na size ipi unasitahili ku stock.

Creams.
Yenye inauzwa kwetu siyo lazima iuzwe kwenu. Fanya research kutoka kwa wenye wanajua au kutoka kwa wholesalers. Wholesalers wanajua zile products zinaenda area fulani.

Beauty products.
Face powder.. Hii pia inategemea ni wapi unauzia. Kuna zingine ziko na numbers, mfano Nice and lovely and A face. Ziko na numbers. Uki purchase numbers ambazo haziendi basi hiyo itakuwa dead stock. Hizi pia listen to your customers

Other products jaza kulingana na uwezo wako

Perfumes jaza au uza kulingana na vile umejipanga

Ongezea other stuffs in your business
 
Top